Mazungumzo na Koleman
Koleman Thompson
Karibu kwenye podcast yangu, MAISHA: Swahili Edition! Dhumuni la podcast hii ni kuzungumzia safari zetu za maisha na mambo ambayo tumepitia na kujifunza. Kwa majina naitwa Koleman Thompson. Nililelewa katika jingo la Utah, Marekani. Nilijifunza Kiswahili nilipotumikia kama Mmisionari kwa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Pia, nina podcast nyingine inayoitwa “MAISHA: English Edition”. Ukitaka kusikiliza kuhusu maisha ya watu waongeao Kiingereza, utafute hiyo podcast. Asante sana kwa kusikiliza!
Categories: Education
Listen to the last episode:
Lizbeth Leonard ni mtu mzuri sana ambaye anampenda Mungu na familia yake sana. Nilibarikiwa sana kuishi na yeye na familia yake wakati ambao nilikuwa Tanzania. Aliboresha maisha yangu sana kwa mfano na maneno yake. Kwenye kipindi hiki, tulizungumza sana kuhusu maisha ya vijana wa Tanzania (ikijumuisha umuhimu wao, changamoto zao, na utatuzi kwa changamoto zao). Natumaini kwamba wengine watafaidika kutokana na mazungumzo haya.
Previous episodes
-
7 - 6. Lizbeth Leonard | Maisha ya Vijana wa Tanzania Sun, 25 Aug 2024
-
6 - 5. Mwalimu Vinold John | Utamaduni na Lugha ya Waswahili Thu, 15 Aug 2024
-
5 - 4. Erick Mwasha | Kuishi Maisha ya Furaha Thu, 08 Aug 2024
-
4 - 3. Fredrick Charles | Maana ya Maisha na Umuhimu wa Amri za Mungu na Mpango Wake Fri, 19 Jul 2024
-
3 - 2. Grace Neema Lubango | Majaribu Magumu ya Maisha na Tofauti Kati ya Maisha ya Tanzania na Marekani Wed, 12 Jun 2024
-
2 - 1. Kujitambulisha Kwangu, Dhumuni la Podkasti hii, na Historia Kidogo ya Maisha Yangu Sat, 08 Jun 2024