Soma Mwanangu (Wosia)

Soma Mwanangu (Wosia)

Nurdin Mihungo

Huu ni Wosia wa Mzazi kwa Mtoto wake, mzazi anaongea na mtoto kwa ufupi kuhusu mambo mengi ya dunia akimuasa namna bora ya kuishi, pia akimuasa kuhusu kusoma.

Sura Zilizomo.

i. Kuhusu Mwandishi ii. Sadaka ya Kitabu

  1. Kabla ya Kusoma
  2. Mazungumzo ya Jioni
  3. Soma Mwanangu
  4. Maisha na Kuishi
  5. Dini na Imani
  6. Hekima, Busara na Subira
  7. Utandawazi, Sayansi na Teknolojia
  8. Pesa, Tabia na Matumizi
  9. Maneno ya Akiba
  10. Ambayo Hayamo

Mawasiliano na Nurdin: WhatsApp: +255714397539

Categories: Arts

Listen to the last episode:

Previous episodes

  • 1 - Soma Mwanangu 
    Sat, 06 Jan 2024
Show more episodes

More Kenya arts podcasts

More international arts podcasts

Choose podcast genre