Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Radio: RFI Kiswahili

Categories: Society & Culture

Listen to the last episode:

Ali Bilali ndio jina langu tunakutana tena Jumapili hii katika makala Changu Chako Chako Changu ambapo nakuletea sehemu ya pili ya Makala kuhusu Utamaduni w andoa kulingana na kabila la Wameru, kwenye le parler francophone nitakupa ratiba ya shughuli kwenye vituo vya Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki tutamaliza na kibao Pambe chake Christian Bella kutoka huko nchini Tanzania, Karibu ama Bienvenue.

Previous episodes

  • 238 - Utamaduni wa ndoa kulingana na kabila la Wameru sehemu ya pili Oct 13 2024 
    Sun, 13 Oct 2024
  • 237 - Utamaduni wa watu wa Kabila la Wameru kutoka nchini Kenya 
    Sun, 06 Oct 2024
  • 236 - Utamaduni wa ndoa kabila la wamakonde na wahangaza kutoka nchini Tanzania sehemu ya 2 
    Sun, 29 Sep 2024
  • 235 - Utamaduni wa watu wa makabila ya wahangaza na wamakonde kutoka nchini Tanzania 
    Sun, 22 Sep 2024
  • 234 - Toleo la 11 la Bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon kutolewa huko Benin 
    Mon, 26 Aug 2024
Show more episodes

More Kenya society & culture podcasts

More international society & culture podcasts

Other RFI Kiswahili podcasts

Choose podcast genre