Muziki Ijumaa

Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Radio: RFI Kiswahili

Categories: Music

Listen to the last episode:

Previous episodes

  • 175 - Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji 
    Sat, 31 Aug 2024
  • 174 - Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika 
    Fri, 19 Jul 2024
  • 173 - Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa 
    Fri, 28 Jun 2024
  • 172 - Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa 
    Fri, 07 Jun 2024
  • 171 - Muziki Ijumaa 
    Sat, 27 Apr 2024
Show more episodes

More Kenya music podcasts

More international music podcasts

Other RFI Kiswahili podcasts

Choose podcast genre