Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

RFI Kiswahili

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Radio: RFI Kiswahili

Categories: Business

Listen to the last episode:

Msikilizaji dunia inashuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watu katika miongo 6 iliyopita, ambapo mwaka 1960 idadi ilikuwa bilioni 3 lakini katika miongo miwili tu hadi mwaka 1982 ilikuwa imevuka watu bilioni 5 na November mwaka 2022 kulikuwa na watu bilioni 8 duniani.

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, tunajadili Athari za Kiuchumi kutokana na ongezeko la watu barani Afrika: Changamoto na fursa.

Tumezungumza na Walter Nguma, mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania

Previous episodes

  • 239 - Athari za Kiuchumi kutokana na ongezeko la watu barani Afrika: Changamoto na fursa 
    Wed, 09 Oct 2024
  • 238 - Athari za utoroshaji na utakatishaji fedha barani Afrika 
    Wed, 02 Oct 2024
  • 237 - Fursa na changamoto ya huduma jumuishi za mifumo ya kifedha kidijitali barani Afrika 
    Wed, 18 Sep 2024
  • 236 - Afrika na usalama wa chakula 
    Wed, 11 Sep 2024
  • 235 - Ndio au hapana, mkutano kati ya Uchina na Afrika 
    Wed, 04 Sep 2024
Show more episodes

More Kenya business podcasts

More international business podcasts

Other RFI Kiswahili podcasts

Choose podcast genre